Fidstyle Friday Week 2 with Nikki Mbishi

Nikki Mbishi ndio msanii wa kwanza kualikwa CheusiDawa TV. Baada ya kumuelewa, bila shaka utakubali kwa nini Fid Q aliamua kufungua pazia na Baba Malcom…

Albamu yake ya kwanza, Sauti ya Jogoo, itatoka tarehe 26 Novemba, 2011. Bofya hapa kusikiliza baadhi ya nyimbo zake.

Tovuti na makala nyingine:

2011-11-03T20:00:09+00:00October 13th, 2011|Fidstyle Friday|1 Comment

One Comment

  1. Mabiyu December 13, 2011 at 12:49 pm

    Sana Ngosha….Tuko pamoja… Jeshi la Nabii mmoja

Comments are closed.