Fidstyle Friday Week 12 with Geez Mabovu

Nadhani sauti yake inaweza ikakuhadaa… na kudhani labda Geez ana mwili mkubwa kama Goliath. Wale ambao hawajapata nafasi ya kumuona, basi huyu ndio Geez Mabovu!

Achana na mambo ya mwili — yeye yupo kwenye harakati na sauti yake ndio kombeo (kama la Daudi) la kuangusha propaganda za Goliath.

[Underground/Real] Hip Hop haiwezi kupewa nafasi kwenye vituo vya redio, hata vipindi vya usiku? Hip Hop haiuzi? Jamii ya Tanzania haihitaji kusikia mitazamo ya emcees wa Hip Hop?

Na hoja nyingine ya Geez: Je, mashabiki mnaridhishwa na vitu vinavyoendelea? Tafadhali, tupe maoni kwa ajili ya kijenga Hip Hop ya Tanzania.

Bofya hapa kusikiliza nyimbo nyingine za Geez:

2011-10-28T19:35:58+00:00October 28th, 2011|Featured, Fidstyle Friday|8 Comments

8 Comments

 1. Curterpaxy October 28, 2011 at 5:23 pm

  Hiphop saved ma life lke lupe fiasco

 2. Ezekia jobu October 28, 2011 at 5:24 pm

  Pamja xana wakubwa! HIP HOP STIL ALIve

 3. mecky ernest October 28, 2011 at 6:33 pm

  aise fid emb fanya kutupa radha moja adimu sana ikizungumzia imani na kuamini.

 4. Name* October 28, 2011 at 7:32 pm

  Comment we like thz program and it gd 4 Tz hp hop, bt u knw FdQ. 80 percntag of Tz pple their ddnt know about Internet so kwnn mnawke thz prgram kwny internt, u must fnd Tv station itakua better broo au

 5. Maarifa October 28, 2011 at 7:44 pm

  Mchangiaji hapo juu, hivi unaelewa vzr Geez anachozungumzia mzee? Kwa mfano, TV station gani watakuwa tayari kurusha kipindi hiki cha leo bila zengwe?

  Mtandao wa manati Bongo.. kwa hiyo jukumu letu ni kuwaambia hao walioko kizani, na sio kukaa tu na kusubiri Fid apeleke ishu TV station. Fid tayari anafanya anachoweza kufanya, na wewe fanya unachoweza kufanya.

 6. mohd October 28, 2011 at 7:47 pm

  Kwa wasojua watahc kua u waste at ur time bt mm nakwambia it gd coz inaibua hisia za wnge, than kwny Tv kuna vpnd vng vya nymbo and nt how 2 improv our music industrs so km utaomba channel 5 or star tv or even Tbc. Plz do ths NGOSH@@ u are hp hop hero in thz JaKaYa land ok

 7. Micky Da African child November 4, 2011 at 5:09 pm

  Geez!! kasimama mbayaa!!

 8. MAN GIDA December 24, 2011 at 7:34 pm

  fid poa sana kwa kpindi hk kwan misingi ya hiphop tz itajengeka kwa upcoming hiphop artists.

Comments are closed.