Ujamaa Hip Hop Darasa Registration Form

Jaza na rudisha fomu kupitia ujamaahiphop@gmail.com

Fomu ya kujiunga UHHD

Update: Usisahau kuambatanisha na picha yako kwenye email.

Kama una swali lolote uliza happ chino kwenye comments na utajibiwa haraka iwezekanavyo.

2014-01-07T08:26:43+00:00January 7th, 2014|News|12 Comments

12 Comments

 1. sekela January 7, 2014 at 6:46 am

  Vipi nikijaza humu si ina maana sitaweka picha au

 2. ender January 7, 2014 at 7:51 am

  Ndio Sekela, attach picha yako kwenye email utakayotuma… kwahiyo utaattach fomu na picha

 3. Cuthbert Mpatwa January 7, 2014 at 9:22 am

  sija juwa jinsi ya kujaza fomu

 4. Cheusi January 9, 2014 at 11:36 am

  @ Cuthbert.. Kuna sehemu imeandikwa fomu ya kujiunga UHHD.. Click hapo tafadhali

 5. Limba January 9, 2014 at 9:03 pm

  Napenda kujua tulio nje ya mkoa wa Dar tunapata nafasi ya namna gani kwa hili?.

 6. boniface January 10, 2014 at 12:28 pm

  naipenda sana!

 7. omary mdoe January 10, 2014 at 12:35 pm

  vpi wa mkoan tunashiriki vpi?

 8. Nassor Ally January 10, 2014 at 12:48 pm

  Sijajua jinsi ya kupost hiyo fomu.

 9. martin January 10, 2014 at 1:21 pm

  tNiL4AHU45MY
  nahitaji kujifunza udjey tu inawezekana

 10. Samwel Peter January 12, 2014 at 11:24 pm

  kama hujui kuimba ila unapenda. kuna darasa lakufundishwa ama ni kwa wenye vipaji tu?

 11. MESHACK BMC January 17, 2014 at 7:30 pm

  huu ni mwanzo wa mapinduzi..i support that.

 12. SHANGWE January 18, 2014 at 3:24 pm

  niaje??? nimechelewa km nikianza jmos ya week ijayo??? ada sh ngap??? na darasa wapi exactly??????

Comments are closed.